kusudi la Mungu kwa mwanadamu
Ayubu 21:22
Mjue sana Mungu ili uwe na amani, ndivyo mema yatakavyo kujilia.....
🌲
Utatambuwa kuwa sehemu yoyote ambayo watu eneo hilo hawamjui Mungu hapawezi kuwa ma amani,
🌲
Hivyo basi kwa mtu anayemjuwa Mungu na kushika neno lake lazima atakuwa na hofu ya Mungu ndani yake atakuwa hana ujasili wa kutenda dhambi.
🌲
pia utaona kwamba Mungu anasema ndivyo mema yatakavyokujilia,kumbe sasa pasipo kumjuwa Mungu huwezi kupata mema ya dunian wala ya Mbinguni.
Amen
JibuFutaSafi sana mtumishi
JibuFuta