eps 1.📖BADO MUNGU NI WA HURUMA KWETU📖
Napenda kuchukuwa fulsa hii kumshukuru Mungu kwa Upendo wake wa ajabu katika maisha yetu,maana kama si yeye nani angesimama na kusimulia matendo yake makuu juu ya maisha yetu... ⛪Kiukweli wanadamu tumekuwa ni watu ambao tunajisahau sana,na imefika kipindi tunafanya mambo yetu kama vile hakuna Mungu,hata kusahau ni pendo la namna gani ambalo Mungu alionesha kwetu sisi kama wanadamu,je !? Ni upendo wa jinsi gani mtu kufa kwa ajili ya wengine... Yohana mtakatifu 3:16 ⏰Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtowa mwanae wa pekee,ili kila amwaminie asipote bali awe na uzima wa milele. ⛪Kumbuka Yesu alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi zan...