Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei 24, 2020

IMANI ITENDAYO KAZI

✝ *NENO LA UZIMA LEO* ( *Prayer Worries Minisrry*) ๐Ÿ“–Somo. *IMANI.* Mpendwa Bwana Yesu Asifiwe Sana, tunaendelea kuangalia sura ya 11. Ya kitabu cha Waebrania. ✍๐Ÿฝ *Leo naomba tupitie Waebrania 11:13-16.* 13 Hawa wote wakafa katika imani, wasijazipokea zile ahadi, bali wakaziona tokea mbali na kuzishangilia, na kukiri kwamba walikuwa wageni, na wasafiri juu ya nchi. ๐Ÿ–Š14 Maana hao wasemao maneno kama hayo waonyesha wazi kwamba wanatafuta nchi yao wenyewe. ๐Ÿ–Š15 Na kama wangaliikumbuka nchi ile waliyotoka, wangalipata nafasi ya kurejea. ๐Ÿ–Š16 Lakini sasa waitamani nchi iliyo bora, yaani, ya mbinguni. Kwa hiyo Mungu haoni haya kuitwa Mungu wao; maana amewatengenezea mji. ๐ŸŸคMaandiko haya nimuendelezo wa mistari iliyopita 7-12. Ikiwazungumzia Mababa wa Imani au watu wakwanza kutendembea na Mungu kwa Imani tangu wale wale wa gaharika mpaka wale waliotembea katika Agano la Mungu , kina Enoch, Abraham, Nuhu, Sarah, Nk. *Mambo Makuu 3 Yakujifunza kwao.* 1. *Walimwamini tu  Mungu hata  k...