Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei 21, 2017

🌍KWANINI TUNASEMA VIBAYA JUU YA WATUMISHI WA MUNGU🌎

Picha
🌏💐Asante mungu kwa kuwa u mwema na pendo lako hakika la dumu katika maisha yangu. 🌈Napenda kuchukuwa fulsa hii kukualika ndugu mpenzi msomaji wa blog hii,ili uweze kufahau na kutambuwa nini kama wanadamu tunachokifanya au kusikia,na hata wakati mwingine kushabikia mambo mbalimbali yanayowahusu watumishi wa Mungu; 🌎💐Kambuka kuwa Wachungaji                                         Maasikofu                                         Mitume                      ...

🌷🌷UNATHAMANI SANA MACHONI PA MUNGU🌷🌷

Karibu tena mpenzi msomaji wa blog hii...        Napenda kuchukuwa fulsa hii kukushukulu kwa kuchukuwa mda wako na kusoma somo hili........             utangulizi .....                                      Isaya 53:5 ......Bali alijeluhiwa kwa makosa yetu,            Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.. 🍎..Malanyingi tumekuwa watu wa lawama sana machoni pa Mungu na kuona kwamba Mungu ametuacha na kutusahau kabisa,ila tunasahau ni pendo la namna gani ambalo Mungu analo juu ya mwanadamu. 🍎..Kumbuka kwamba Mungu aliamua kumtowa mwanaye kwa ajili yangu mimi na na wewe ili tuweze kuwa huru n...