kusudi la Mungu kwa mwanadamu

Ayubu 21:22
Mjue sana Mungu ili uwe na amani, ndivyo mema yatakavyo kujilia.....
🌲
Utatambuwa kuwa sehemu yoyote ambayo watu eneo hilo hawamjui Mungu hapawezi kuwa ma amani,
🌲
Hivyo basi kwa mtu anayemjuwa Mungu na kushika neno lake  lazima atakuwa na hofu ya Mungu ndani yake atakuwa hana ujasili wa kutenda dhambi.
🌲
pia utaona kwamba Mungu anasema ndivyo mema yatakavyokujilia,kumbe sasa pasipo kumjuwa Mungu huwezi kupata mema ya dunian wala ya Mbinguni.

Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KWANINI UFIE DHAMBINI WAKATI NEEMA IPO

IMANI ITENDAYO KAZI

🌳BADO TUMAINI LIPO USIKATE TAMAA🌳