Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni 11, 2017

MUNGU ANAPIGANA UPANDE WAKO

Je ni nani unayemtegemea  katika pito lako,au katika magumu yako unayoyapitia katika maisha yako. Je wajuwa kuwa yupo Mungu awezaye yote na yeye ni yote ndani ya yote ukiwa upande wake atakushindia,na ambaye hajawahi shindwa na gumu lolote,            2 nyakati 32:7                                🎄iweni hodari na wenye moyo mkuu,msiogope,wala msifadhaike kwa ajili ya mfalme wa Ashuru,wala kwa majeshi walio pamoja naye;maana yupo mkuu pamoja nasi kuliko aliye pamoja naye. 🎄Kumbe utaona sasa kumbe tatizo haliko kwa Mungu tatizo liko kwetu wanadamu tunakuwa watu ambao hatuna uhakika na Mungu aliye hai,kumbe yatupasa kuwa hodari kwa yale tunayopitia katika maisha yetu ya Kiroho na kimwili yawe na ushuhuda na kumpendeza Mungu,haijalishi watu wanakupiga vita kiasi gani au...