2..🌹🌹UNATHAMANI SANA MACHONI PA MUNGU🌹🌹
Asante Mungu muumba wa mbingu na ardhi kwa wema wako na Upendo wa ajabu maishani mwangu. 🌻Pia napenda kukushukulu mpenzi msomaji wa blog hii kwa kuchukuwa mda wako nakusoma,Mungu akubariki na nina Imani Mungu wangu wa Mbinguni hata kuacha bure. ✏maisha huuanza ukitambuwa na kujuwa ni nini hasa kusudi la Mungu kaika misha yako,au nini lsngo la Mungu kukufanya wewe uwe hapo ulipo,thamani ya mwanadamu ni kuu sana machoni pa Mungu ila shetani mara nyingi amekuwa akimpofusha mwanadamu asitambuwe nia na lengo la Mungu katika maisha. Sasa ni hivi mwanadamu ukuzaliwa ili uwe wa matezo katika dunia,ila sasa shatani amdtupiga upofu ambapo tunashindwa kuelewa nia na kusudi la Mungu kwetu,maana lengo la Mungu ni kuwa kila mwanadamu aishi maisha ya Utakatifu na yakumpendeza Mungu,kumbuka nia na lengo la Mungu ni kukutowa huko uliko katika giza na kukuweka katika nuru lakini wanadamu tumekuwa ni wepesi sana kufuata ya gizani kuliko yalio ka...