🌍KWANINI TUNASEMA VIBAYA JUU YA WATUMISHI WA MUNGU🌎

🌏💐Asante mungu kwa kuwa u mwema na pendo lako hakika la dumu katika maisha yangu.

🌈Napenda kuchukuwa fulsa hii kukualika ndugu mpenzi msomaji wa blog hii,ili uweze kufahau na kutambuwa nini kama wanadamu tunachokifanya au kusikia,na hata wakati mwingine kushabikia mambo mbalimbali yanayowahusu watumishi wa Mungu;

🌎💐Kambuka kuwa Wachungaji
                                        Maasikofu
                                        Mitume
                                        Manabii
  Hawa wote wapo kwa ajili ya Mungu na ni watenda kazi ya Mungu,sasa inapofikia hatua sisi kama watu tunaomwamini Mungu na tunaoijuwa kweli yasije mambo mabaya ambayo hatukusitaili kuyapata tukayapata kutokana maneno ya vinywa vyetu.

🌍💐Kuna uvumi unakuwa unaenea sana katika jamii zetu kwamba Mchungaji huyu hafai au huyu anatumia nguvu za giza,sawa je?kama watu tunaoijuwa kweli ya Mungu tumechukuwa hatua gani,ili Mungu aweze kuwasaidia watumishi wake au sisi ndo tumekuwa watu wa kwanza  wakushabikia mambo kama hayo,kumbuka Biblia inasemaje katka ....
               ZABURI...1:1-
                                         📖Heri mtu yule asiyekwenda katika shauri lao wasio haki,wala hakuketi balazani pa wenye mizaa
.....Je? mimi na wewe tupo katika kuwaombea watumishi wa Mungu wanaotuongoza au tupo kwa ajili ya kuwasema vibaya.

🌍💐Watu ndiyo maana hatufanikiwi wala hatukuwi kiroho kutokana na mambo tunayoyafanya juu ya Watumishi wa Mungu,Yatupasa kuwa watu ambao tunatakiwa kuwa na msimamo na upendo juu ya wale wanaotuongoza katika maisha yetu ya kiroho na sio kila kitu tunakuwa washabiki.

                        🌺MUHIMU🌺
Usiwe mtu wa kupenda kushabikia kilajambo baya linalosemwa juu ya Watumishi wa Mungu,kumbuka wamewekwa ili kuponya Roho zetu na kutuongoza kama unaona kuna tofauti ingia katika Maombi na siyo kuwa mtu wa ushabiki kwa Viongozi wetu....
          MUNGU ATUSAIDIE SANA KATIKA HILI.

Maoni

  1. Ni kweli haipendezi hiyo kushabikia vitu usivyo vijua

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KWANINI UFIE DHAMBINI WAKATI NEEMA IPO

IMANI ITENDAYO KAZI

🌳BADO TUMAINI LIPO USIKATE TAMAA🌳