🌷🌷UNATHAMANI SANA MACHONI PA MUNGU🌷🌷

Karibu tena mpenzi msomaji wa blog hii...
       Napenda kuchukuwa fulsa hii kukushukulu kwa kuchukuwa mda wako na kusoma somo hili........ 

           utangulizi .....
                                     Isaya 53:5
......Bali alijeluhiwa kwa makosa yetu,
           Alichubuliwa kwa maovu yetu;
Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake,
Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona..

🍎..Malanyingi tumekuwa watu wa lawama sana machoni pa Mungu na kuona kwamba Mungu ametuacha na kutusahau kabisa,ila tunasahau ni pendo la namna gani ambalo Mungu analo juu ya mwanadamu.

🍎..Kumbuka kwamba Mungu aliamua kumtowa mwanaye kwa ajili yangu mimi na na wewe ili tuweze kuwa huru na ile huru ituweke huru kweli kweli,kwa makosa yangu mimi na wewe Yesu alijeruhiwa ili kufuta makosa yetu.,Pia hata kuchubuliwa kwa maovu yetu.

🍎..NINI KUSUDI LA MUNGU..
                Kusudi la Mungu ni mwanadamu aishi maisha ya Utakatifu,maana kumbuka Yesu alikuja dunian na hata kuteseka kwa ajili yetu sasa yatupasa mimi na wewe kuishi maisha ya utakatifu huku tukiwa na hofu ya Mungu ndani yetu,kumbuka inampendeza sana Mungu kuishi maisha ya utakatifu yasiyo na aina yoyote ya uchafu.

         Unathamani sana machoni pa Mungu na unaweza kufanikiwa kwa yote katika yote endapo utaishi maisha ya kumpendeza Mungu,au kuishi sawasawa na kusudi la Mungu,
        Amina
whats.0629112471
Faceb..Iman mwakalinga
Twitt..Imani mwakalinga
Instagr..Officilfaithmwakalinga

Maoni