2..🌹🌹UNATHAMANI SANA MACHONI PA MUNGU🌹🌹
Asante Mungu muumba wa mbingu na ardhi kwa wema wako na Upendo wa ajabu maishani mwangu.
🌻Pia napenda kukushukulu mpenzi msomaji wa blog hii kwa kuchukuwa mda wako nakusoma,Mungu akubariki na nina Imani Mungu wangu wa Mbinguni hata kuacha bure.
✏maisha huuanza ukitambuwa na kujuwa ni nini hasa kusudi la Mungu kaika misha yako,au nini lsngo la Mungu kukufanya wewe uwe hapo ulipo,thamani ya mwanadamu ni kuu sana machoni pa Mungu ila shetani mara nyingi amekuwa akimpofusha mwanadamu asitambuwe nia na lengo la Mungu katika maisha.
Sasa ni hivi mwanadamu ukuzaliwa ili uwe wa matezo katika dunia,ila sasa shatani amdtupiga upofu ambapo tunashindwa kuelewa nia na kusudi la Mungu kwetu,maana lengo la Mungu ni kuwa kila mwanadamu aishi maisha ya Utakatifu na yakumpendeza Mungu,kumbuka nia na lengo la Mungu ni kukutowa huko uliko katika giza na kukuweka katika nuru lakini wanadamu tumekuwa ni wepesi sana kufuata ya gizani kuliko yalio katika nuru,kumbuka Mungu anakupenda tena akupenda ndiyo maana hata leo upo,ni upendo na neema ya ajabu sana katika maisha ya sasa,kumbuka ni wangapi ulikuwa nao na wangapi waliotangulia mbele za haki ila wewe bado upo hai hata sasa,ndugu yangu mshukuru sana Mungu kwa matendo makuu anayoendelea kutenda juu ya maisha yako kwa maana anakuji jema kwako.
MAANA WAABUDUO HALISI WATAMWONA MUNGU
.....The woks of the Lord are great....
imanmwaka@gmail.com
0629112471/0676560578
Maoni
Chapisha Maoni