MUNGU YU UPANDE WAKO SIKU ZOTE
Katika maisha ya Mwanadamu kuna mengi tunayopitia na vikwazo tunavyokutana navyo,lakini bado lipo tumaini na uweza ulio mkuu toka kwa Mungu Baba.
Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza.
Isaya 43:2
Maana mimi ni Bwana, Mungu wako; Mtakatifu wa Israeli, mwokozi wako, nimetoa Misri kuwa ukombozi wako; nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako.
Isaya 43:3
@..Uendapo katika moto hautatekete
--Haijalishi ni maumivu kiasi gani unapitia katika maisha hata yawe makali kama moto,au yanakutesa kiasi gani lakini kumbuka bado yupo mtetezi aliye hai(kumbuka yale aliyopitia Ayubu maumivu makali kama moto lakini hakukata tamaa na bado akajipa moyo akasema najuwa mtetezi wangu yu hai,ndugu yangu hata wewe leo mtetezi wako hata leo yu hai milele.
Nb....kumbuka katika kila tufanyalo na tutendalo Mungu ndiye msaada wetu na kimbilio letu siku zote za maisha yetu ......
Ev..Mwakalinga_Imani
A New Revival Mission

@..Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nwe--Mungu yuko pamoja nasi hata tupipo katika shida ngumu namna gani katika maisha tunayokutana nayo hapa duniani,tupitapo katika maji mengi,ni ile hali ya kuwa na taabu nyingi sana na mateso ambayo kwa akili zetu za kibinadamu hatuwezi ila mpaka Msaada wakr Mungu.
@..Uendapo katika moto hautatekete
--Haijalishi ni maumivu kiasi gani unapitia katika maisha hata yawe makali kama moto,au yanakutesa kiasi gani lakini kumbuka bado yupo mtetezi aliye hai(kumbuka yale aliyopitia Ayubu maumivu makali kama moto lakini hakukata tamaa na bado akajipa moyo akasema najuwa mtetezi wangu yu hai,ndugu yangu hata wewe leo mtetezi wako hata leo yu hai milele.
Nb....kumbuka katika kila tufanyalo na tutendalo Mungu ndiye msaada wetu na kimbilio letu siku zote za maisha yetu ......
Ev..Mwakalinga_Imani
A New Revival Mission
Maoni
Chapisha Maoni