✝ *NENO LA UZIMA LEO* ( *Prayer Worries Minisrry*) 📖Somo. *IMANI.* Mpendwa Bwana Yesu Asifiwe Sana, tunaendelea kuangalia sura ya 11. Ya kitabu cha Waebrania. ✍🏽 *Leo naomba tupitie Waebrania 11:13-16.* 13 Hawa wote wakafa katika imani, wasijazipokea zile ahadi, bali wakaziona tokea mbali na kuzishangilia, na kukiri kwamba walikuwa wageni, na wasafiri juu ya nchi. 🖊14 Maana hao wasemao maneno kama hayo waonyesha wazi kwamba wanatafuta nchi yao wenyewe. 🖊15 Na kama wangaliikumbuka nchi ile waliyotoka, wangalipata nafasi ya kurejea. 🖊16 Lakini sasa waitamani nchi iliyo bora, yaani, ya mbinguni. Kwa hiyo Mungu haoni haya kuitwa Mungu wao; maana amewatengenezea mji. 🟤Maandiko haya nimuendelezo wa mistari iliyopita 7-12. Ikiwazungumzia Mababa wa Imani au watu wakwanza kutendembea na Mungu kwa Imani tangu wale wale wa gaharika mpaka wale waliotembea katika Agano la Mungu , kina Enoch, Abraham, Nuhu, Sarah, Nk. *Mambo Makuu 3 Yakujifunza kwao.* 1. *Walimwamini tu Mungu hata k...
Maoni
Chapisha Maoni