2/📚BADO TUMAINI LIPO USIKATE TAMAA📚
✏kuna mambo yanayoendelea katika ulimwengu ambayo tunayona na mengine hatuyaoni katika ulimwengu wa ROHO,ila kwa msaada mkuu wa Mungu hutufahamisha hata yale ya sirini ambayo hatuyawezi.
✏mwanadamu anapokuwa na pesa huwa na marafiki wengi sana katika maisha haya ya kila siku,ambapo huwa na idadi kubwa ya watu alionao karibu kuliko jinsi yeye alivyo karibu na Mungu,na Mungu bado huwa anakuwa wa upendo kwetu hata tupitapo katika mambo magumu sana na tusiyo yaweza
✏kumbuka ulifanyika kwa mfano halisi wa MUNGU na ndiyo maana tukapewa maalifa ya kutambuwa mema na mabaya,ila sasa wanadamu tumekuwa ni watu tunaoenenda kama kipofu asiye na muongozo katika barabara
GEUKA USONGEMBELE.....lipo tumaini jema katika maisha ya sasa pia tambuwa yupo MUNGU anayepigana upande wako usife moyo
Maoni
Chapisha Maoni